M mwijampola New Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2 Reaction score 1 Oct 12, 2011 #1 Kama kuna anayejua mtu anauza Vitz iwe ya mwaka 2001 nakuendelea juu i.e 2002 na iko kwenye hali nzuri awasiliane na mimi tufanye biashara. iwe chini ya cc 1000. Bei isizidi. contact zangu ni lkawamala@gmail.com.
Kama kuna anayejua mtu anauza Vitz iwe ya mwaka 2001 nakuendelea juu i.e 2002 na iko kwenye hali nzuri awasiliane na mimi tufanye biashara. iwe chini ya cc 1000. Bei isizidi. contact zangu ni lkawamala@gmail.com.
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,043 Reaction score 7,477 Oct 12, 2011 #2 Orait, mimi ninayo lakini ya kuhonga sio ya kuuza. Sorry.
khauka Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 100 Reaction score 4 Oct 13, 2011 #3 Bigirita said: Orait, mimi ninayo lakini ya kuhonga sio ya kuuza. Sorry. Click to expand... Dah.. jarib kua serious mkuu, ustaarabu usikushinde kiasi hicho..
Bigirita said: Orait, mimi ninayo lakini ya kuhonga sio ya kuuza. Sorry. Click to expand... Dah.. jarib kua serious mkuu, ustaarabu usikushinde kiasi hicho..
pisces JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 240 Reaction score 61 Oct 16, 2011 #4 mmmmh hivi kuna gari chini ya cc1000?? Nadhani vitz ni cc1300
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Oct 16, 2011 #5 pisces said: mmmmh hivi kuna gari chini ya cc1000?? Nadhani vitz ni cc1300 Click to expand... Vitz mwisho ni CC-1000 japo mwanzoni zilikuwepo mpaka CC-900.
pisces said: mmmmh hivi kuna gari chini ya cc1000?? Nadhani vitz ni cc1300 Click to expand... Vitz mwisho ni CC-1000 japo mwanzoni zilikuwepo mpaka CC-900.