Natafuta Vitabu vya A Level: Physical na Inorganic Chemistry

Natafuta Vitabu vya A Level: Physical na Inorganic Chemistry

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Mwenye vitabu hivi anaweza kuwasiliana na mimi. Hasa vile vya Mzumbe Project. Ni PM na unipe namba yako ya simu.
 
Katafute kwa wale jamaa wanaopanga pale ubungo unaeza bahatisha siku moja'
Ni adimu mno kuvipata
 
Huwa navitafuta sana. Ubungo huwa naangalia sijaviona. Sijajua viliishia wapi vile vitabu.
 
Ile elimu ya enz za mwalimu ilishaisha' Siku hizi unapambana na vitabu vya India tuu
 
Kuna kitu kinanisumbua natakata nirudie Chemical Reactions na Equilibrium pamoja na energetics. Sasa siku hizi takuwa hatari
Ile elimu ya enz za mwalimu ilishaisha' Siku hizi unapambana na vitabu vya India tuu
 
Wakuu na mimi nahitaji vitabu vya zamani vya chemistry o level navipata wapi?
 
Back
Top Bottom