Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 402
- 823
Habari zenu.
Naomba kuuliza kama kuna mtu anauza vipimo vya asali (honey refractometer) au naweza kupata kwa mtu gani au taasisi gani (connection) ya kuvipata hivyo vipimo kwa Tanzania