Simplelady
Member
- Oct 26, 2009
- 44
- 22
Nataka kufanya installation /wiring kwenye nyumba natafuta shemu wapouza viffa vya wiring kwa bei poa.

mkuu nipe kazi ya kukufanyia ninakampuni inadili na hiyo mambo toa kazi mkuu, achana na mfundi wa mtaani.
acha kuponda mafundi wa mtaani mkuu.kwani ni wazur kuliko baadh ya vikampuni.pia bei ni rahisi kuliko nyinyi.........ukipata fund mkongwe wa kitaa hakuna tabu hapo.
mkuu nipe kazi ya kukufanyia ninakampuni inadili na hiyo mambo toa kazi mkuu, achana na mfundi wa mtaani.
Nataka kufanya installation /wiring kwenye nyumba natafuta shemu wapouza viffa vya wiring kwa bei poa.
Fundi wa kufanya installation yupo tayari , ila natafuta vifaa vya kufanyia kazi tuPls! Call me 0717577755, 0767577755 and 0787577755. Or PM!