Miixed feelings Member Joined Sep 11, 2014 Posts 10 Reaction score 8 Feb 19, 2015 #1 Habari gani wakuu? Nahitaji vyombo vya kuinika kwa ajili ya matibabu ((Enema), tafadhali alienavyo ani pm
Habari gani wakuu? Nahitaji vyombo vya kuinika kwa ajili ya matibabu ((Enema), tafadhali alienavyo ani pm
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Feb 19, 2015 #2 mh! hapa sielewi, kwahiyo unaumwa Enema au?? na vifaa ujitibu?? au? au umtibu mtu? au we mganga? au? au? nadhani jukwaa la doctor umepeleka? au? sorry sielewi hv ndo ugonjwa gani vile? au?
mh! hapa sielewi, kwahiyo unaumwa Enema au?? na vifaa ujitibu?? au? au umtibu mtu? au we mganga? au? au? nadhani jukwaa la doctor umepeleka? au? sorry sielewi hv ndo ugonjwa gani vile? au?
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 19, 2015 #3 Pole mwaya umejitahidi kutafuta hivyo vifaa kwenye maduka yanayouza vifaa hivyo? Watakuja wanaovijua vifaa hivyo miixed feelings said: nina mgonjwa ambae anahitaji kufanya detoxification ya mwili kwa njia hiyo. Click to expand...
Pole mwaya umejitahidi kutafuta hivyo vifaa kwenye maduka yanayouza vifaa hivyo? Watakuja wanaovijua vifaa hivyo miixed feelings said: nina mgonjwa ambae anahitaji kufanya detoxification ya mwili kwa njia hiyo. Click to expand...
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 574 Feb 20, 2015 #4 .....nenda nakiete pharmacy mwenge utapata.