THINKINGBEING JF-Expert Member Joined Aug 9, 2010 Posts 2,779 Reaction score 1,304 Jul 8, 2013 #1 Waungwana nahitaji vifaa vya mazoezi ya Gym.Kama kuna mwenye kufahamu namna ya kuvipata tafadhali anijuze.Nahitaji zaidi used nimeambiwa vipya vingi ni famba. Kama nikipata picha na bei itakuwa burudani zaidi.
Waungwana nahitaji vifaa vya mazoezi ya Gym.Kama kuna mwenye kufahamu namna ya kuvipata tafadhali anijuze.Nahitaji zaidi used nimeambiwa vipya vingi ni famba. Kama nikipata picha na bei itakuwa burudani zaidi.