habar wakuu....km kuna mtu anayo video camera aina ya Canon 7D used...tuwasiliane kwa...#0719477815
Kama ni canon 7D used ni kwenye million 2 sh kuendeleaSijawahi kusikia kama kuna video camera Canon 7D,au unamaanisha Canon 7D ambayo ni DSLR lakini wengi huitumia kwa kurekodi video,ni kama Canon 5D mark II /III(full Frame) zinavyotumika kuchukulia video ila kwa kuwa zinabei kubwa inabidi wengi watumie hiyo Canon 7D ambayo ni APS-C
Kama ni canon 7D used ni kwenye million 2 sh kuendelea
nielekeze wapi ninunue kwa dollar 700Ila siku hizi zimeshuka kama upo Ulaya au States unapata hat kwa Usd 700,kuna tetesi inakuja Canon 7D Mark II,nasikia pia ilitumika huko Brazil kwenye world cup kwa ajili ya majaribio ingawa ilikuwa imefunikwa na kitambaa isijulikeni lakini wajuzi wa mambo wanadhani ndio yenyewe,kusema ukweli hii ni camera nzuri sana kwa zile zisizo za full frame
Mkuu, sahau kupata hiyo kitu kwa dollar 700. Hii kitu mimi ninayo (CANNON 7D Camera EOS) ni camera mzuri sana lakini ni expensive pia.nielekeze wapi ninunue kwa dollar 700
Ila siku hizi zimeshuka kama upo Ulaya au States unapata hat kwa Usd 700,kuna tetesi inakuja Canon 7D Mark II,nasikia pia ilitumika huko Brazil kwenye world cup kwa ajili ya majaribio ingawa ilikuwa imefunikwa na kitambaa isijulikeni lakini wajuzi wa mambo wanadhani ndio yenyewe,kusema ukweli hii ni camera nzuri sana kwa zile zisizo za full frame
nilitaka kumshangaa aliposema anaweza kupata kwa dollar 700Mkuu, sahau kupata hiyo kitu kwa dollar 700. Hii kitu mimi ninayo (CANNON 7D Camera EOS) ni camera mzuri sana lakini ni expensive pia.
hiyo Mpya itapatikana around 4,100,000/= complete Kit ( Canon EOS 7D Digital SLR Camera Body +7 Lens ) ​from USA..habar wakuu....km kuna mtu anayo video camera aina ya Canon 7D used...tuwasiliane kwa...#0719477815
nilitaka kumshangaa aliposema anaweza kupata kwa dollar 700
nielekeze wapi ninunue kwa dollar 700