Natafuta Valve Chase ya gear box ya Toyota Cami

Natafuta Valve Chase ya gear box ya Toyota Cami

Mubii

Senior Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
153
Reaction score
31
Salaam. Ninatafuta Valve chase ya Gear box ya gari aina Toyota Cami ya mwaka 1999. Nipo Dar.
 
Tembelea mitaa ya ilala, maeneo ya machinga complex kuna maduka ya used spares mitaa hiyo, unaweza ukaipata.
 
Tembelea mitaa ya ilala, maeneo ya machinga complex kuna maduka ya used spares mitaa hiyo, unaweza ukaipata.
Nashukuru kwa taarifa. Fundi wangu kazungukia huko leo ni karibu wiki na hajapata inayofaa. Alipata moja lakini baada ya kufunga haiku 'respond' wanavyosema, hivyo bado anaendelea kutafuta huko huko. Mimi niliona nipitie humu katika kuhangaikia suala hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom