Natafuta uzoefu wa kuendesha truck/lori

suresh91

Member
Jun 23, 2015
18
6
Habari' mimi ni dereva ila nataka kuwa suka wa kuendesha malori tatizo sijafanikiwa kupata sehem ya kupatia uzoefu mwenye kuwa na hiyo nafasi naomba tusaidiane.
 
Jamani ebu tusaidiane maana hali ni tete mwnye kuckia au kuhtaj dereva tupo hatuna kazi na uaminifu tunao... Tusaidiane ktk hili leseni yngu ni class E
 
Wewe ni dereva ila unataka kuwa SUKA wa truck,be serious kijana.
 
Back
Top Bottom