natafuta used smartphone kwa 300,000

natafuta used smartphone kwa 300,000

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha....

taja aina ya simu na kwanini unuza......
kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone...

twende kazi sasa
 
.
.
hiyo lugha uliyotumiaa
.
kwanin unatafuta USED????
.
.
 
Kwanza hapa sio jukwaa lake, omba mods wakuhamishie jukwaa la matangazo madogomadogo
 
Ninayo HTC one v, kama utaipenda nitafute.
 
Ninayo samsunga galaxy Y Duos Pro, nimeitumia mwezi mmoja tu na iko kama mpya kabisa, nauza cause nimepata galaxy note. Bei Tsh 280,000

Call me on 0767659145 au PM

Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha....

taja aina ya simu na kwanini unuza......
kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone...

twende kazi sasa
 
Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha....

taja aina ya simu na kwanini unuza......
kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone...

twende kazi sasa

nakupa samsung galaxy y pro
 
ninayo htc wildfire s, au ongeza pesa kidogo nikupe HTC DESIRE HD KWA 400,000, sababu ya Kuuza ni Biashara yangu inayoniweka mjini ninazo cm mpaka za mamilioni kama unataka

..P.S..zote ni original toka mitandao ya UK na US lakini zimefunguliwa
 
eeeh!!! kitaeleweka tu mwaka huu. mpaka JANUARY iishe watoto warudi shule na kodi za nyumba zilipwe yatanenwa mengi.
 
ipo galaxy nexus s kaka, kama utaipenda ni pm tufanye biashara nipo dsm.
 
Blackberry 9900 kwa 400,000...Original with vodafone uk Logo..!
 
Nina hTc desire ninauza kwa Tsh 300,000/=.
Ni pm tuongee..
 
ongeza 250000nikupe samsung galaxy sii nimeitumia miezi minne tuu
 
Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha....

taja aina ya simu na kwanini unuza......
kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone...

twende kazi sasa

Motorola Droid razr ipo!!
 
Back
Top Bottom