Nina rafiki yangu mmoja yupo maeneo ya Arusha anatafuta used laptop aina ya Dell D620 au laptop yoyote used. Bei aliyonayo n sh. 300,000/= kwa yeyote mwenye used laptop ambaye angependa kumuuzia laptop yake kwa bei hiyo asisite kuwasiliana naye kupitia anwani zilizopo hapo chini.