Natafuta Ukumbi Uliotulia Kwa seminar Arusha Mjini

Natafuta Ukumbi Uliotulia Kwa seminar Arusha Mjini

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
601
Habari... Natafuta ukumbi uliotulia na uliopo sehemu salama na inayofikika kirahisi Arusha Mjini kwa ajili ya Kuendesha seminar kwa wiki mbili.
Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 30 tu.
 
Habari... Natafuta ukumbi uliotulia na uliopo sehemu salama na inayofikika kirahisi Arusha Mjini kwa ajili ya Kuendesha seminar kwa wiki mbili.
Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 30 tu.
Ninao ukumbi wa kuchukua watu hadi 50,na mwingine una uwezo wa kuchukua hadi 300 watu.
Ukumbi upo Moravian area,jirani ni mwendo wa DK 10 kutembea toka Mianzini Traffic lights.
Kuna parking kubwa na eneo la wazi (garden)
BEI ya kukodi ukumbi viti,meza na white board kwa ajili ya kuandikia summary ni 60,000/=Kwa siku kwa ukumbi mdogo.(50pax)

Ukiwa muhitaji tuwasiliane 0752489529
 
Back
Top Bottom