Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 432
- 91
Hivi ni kweli hakuna wauzaji wa ufuta au hili zao nalo nimekuwa hadimu mwaka huu
Kama 3500/- kwa kilo ya ufuta... Nita kuuzia....UFUTA na CHOROKO
Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho.
BEI YA LEO
Ufuta: 2,600/= kwa kilo
Choroko: 1,100/= kwa kilo
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
Wandugu mwenye bidhaa pendwa ya ufuta mweupe au mweusi tutafutane.
Compositions kwa ufuta mweupe
Moisture 5% Max.
Fat (Oil) 48% Min.
Ash 6% Max.
Protein 20% Min.
Carbohydrates 10% Approx.
Crude Fiber 5% Max.
Njoo ruangwa wanavuna