Unaonaje ukiomba ufadhili wa kusoma A level maana kusoma clinical medicine kwenda degree ni kazi sana mpaka uwe na GPA ya 3.5. Halafu hayo mambo ya jeshi achana nayo mimi nilifikiri unasoma uwe bingwa wa magonjwa ya akina mama na watoto kumbe ni jeshi, kama ni jeshi jiunge nao wakusomeshe wenyewe.