Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 928
Habari wadau,natafuta mtu anaejua namna ya kupata ufadhili au mfadhili wa ndani au nje ya nchi. Nina taasisi imesajiliwa kutoa elimu nje ya mfumo RASMI pamoja na mafunzo ya ufundi. Changamoto ninazopitia ni gharama za kuendesha sijawaipata ufadhili wowote. Ivo kama kuna mdau anaweza kunisaidia kutafuta wafadhili au kuandika andiko aje tuyajenge.
NB.sio lazima msaada wa vitu au pesa ata walimu wa kujitolea.
NB.sio lazima msaada wa vitu au pesa ata walimu wa kujitolea.