B Baba JJ Senior Member Joined Feb 15, 2013 Posts 194 Reaction score 98 Oct 11, 2017 #1 Mashine hiyo niya kubadilisha/kufumua matairi ya gari kubwa na ndogo, nahitaji kwa ajili ya workshop yangu. Naweza kupata wapi hapa Dsm? Mwenye nayo tuwasiliane 0715465147 . Nipo dsm
Mashine hiyo niya kubadilisha/kufumua matairi ya gari kubwa na ndogo, nahitaji kwa ajili ya workshop yangu. Naweza kupata wapi hapa Dsm? Mwenye nayo tuwasiliane 0715465147 . Nipo dsm
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,226 Reaction score 5,150 Oct 11, 2017 #2 Ipo mwanza mkuu Kama upo tayari ni Pm