mkuu unataka size gani kwanza maana kna 2*2, kna 2*4, kna 2*6...ila nachojua wanauzaga kwa futi.wewe unataka sizw gani hapo.maana znapatikana sehem nyingi tu inategemea wewe uko wapi
mkuu unataka size gani kwanza maana kna 2*2, kna 2*4, kna 2*6...ila nachojua wanauzaga kwa futi.wewe unataka sizw gani hapo.maana znapatikana sehem nyingi tu inategemea wewe uko wapi
Cheki Buguruni pia zinapatikana kwa wingi. Nakushauri pia wakati wa kununua nenda na futi yako na fundi wako wa kuchagua mbao na kuhakikisha urefu wa vipimo uko sawa. Kuwa makini na madalali kwani wana futi zilizokatwa ili kupunguza urefu na watu hawa ni hatari sana kwani wana connections na wauza mbao hivyo kuwa makini sana. Chukua fundi wako na futi yako mpya kutoka dukani usitumie futi za madalali wala muuza mbao.