mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner.
Kama unalo ni PM kwa business ya kesho 19/6/21
Kama unalo ni PM kwa business ya kesho 19/6/21