Natafuta toyota ist

bfexjan

Member
Mar 11, 2012
64
14
Habari zenu wadau! nahitaji kununua gari toyota ist ambayo ipo katika hali nzuri.

Specifications

1. Rangi yoyote kasoro nyeupe, nyekundu na dark blue (blue bahari haina shida)
2. Ndani iwe safi - iwe katika hali nzuri
3. Mileage si zaidi ya km 120,000
4. CC 1300.
5. Isiwe na mikwaruzo bt Kama ina mkwaruzo nijulishe mapema.

NB.

1. Dalali hatakiwi, nahitaji kuwasiliana na mwenye mali tu.
2. Ukituma msg weka na ofa price
3. Direct contact humble2080@yahoo.com
 
Kama una 13m ni PM nikupe kitu safi kabisa mileage ni haijafika 60000,silver,reg no T...CAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom