Attainer Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 440
- 834
Ndiyo nalihangaikia hapa mkuu nikipata nitakupa feedbackGoli liko Mkoa/Wilaya gani ili matajiri wakutafute kwa wepesi?
Labda gari lishindwe kufanya kazi ila kazi ni j3 mpaka Jumamosi.Kazi ya muda gani mkuu??
Fanya 100k reasonable amount, nipigie leo kesho tuanze kazi80k per Day ndogo sana Mkuu.. 120k unaweza kulipa?
Nitumie whatsapp hiyo gari niione 0625466634.80k per Day ndogo sana Mkuu.. 120k unaweza kulipa?
Sure ila ni techniques tu, hela ipo inapatikana.Biashara ngumu sana .....
huenda lengo lako ni zuri,ila kumkabidhi gari ya thamani mtu usiyemjua kabisa,hata background yake inahitaji moyo wa ujasiri sana mkuu.Sure ila ni techniques tu, hela ipo inapatikana.
Ni kweli unalosema ila mtu hawezi akakimbia na Coaster. Weka imani maana sote tuko kwenye utafutaji. Nidhamu na uaminifu ndiyo kitu kikubwa mkuu.huenda lengo lako ni zuri,ila kumkabidhi gari ya thamani mtu usiyemjua kabisa,hata background yake inahitaji moyo wa ujasiri sana mkuu.