R ramson34 Senior Member Joined Oct 29, 2009 Posts 109 Reaction score 4 Mar 23, 2013 #1 Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:- iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue. iwe na real spoiler na body kit. iwe na reasonable milage. iwe na hali nzuri sana ndani na nje. kama imesajiliwa basi isiwe zaidi ya mwezi. naomba mtu yoyote mwenye nayo tuwasiliane inbox ili nimpe email yangu anitumie picha na tunegotiate bei. Shukrani kwenu.
Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:- iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue. iwe na real spoiler na body kit. iwe na reasonable milage. iwe na hali nzuri sana ndani na nje. kama imesajiliwa basi isiwe zaidi ya mwezi. naomba mtu yoyote mwenye nayo tuwasiliane inbox ili nimpe email yangu anitumie picha na tunegotiate bei. Shukrani kwenu.
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Mar 24, 2013 #2 Mi nna Lexus Silver 130000km, Namba B, Ipo mkoani, Nichek kwenye 0754865489