Natafuta thread ya January Makamba kuhusu Katiba

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Wakuu,

Kuna thread moja tuliletewa humu inahusu maoni ya Januuary Makamba aliyotoa kwenye facebook moja akiponda kuwa hakuna haja ya mabadiliko ya Katiba.

Sasa juzi Kikwete katoa hutoba kuhusu kuunda Tume ya Katiba January huyohuyo anakuwa wa kwanza kumsifia Kikwete na kumponda John Mnyika kwa hatua yake ya kupeleka hoja hiyo bungeni.

Nime-search thread hiyo sikuipata na sijui kwa nini siipati.

Anayeweza kutupatia thread ile itatusaidia kupima kauli hizi mbilimbili za hawa watu. Nakumbuka Mwanakijiji alifanya hivyohivyo siku Anne Makinda alipotamka hajui nini maana ya neno fisadi ambapo ilifukuliwa thread ya mwaka 2008 ambapo Anne Makinda alionyesha kuuchukia ufisadi.

Saidia wakuu..
 
mkuu nenda kwenye jukwaa la siasa nimeshakuwekea thead ya JM...ok
 
Back
Top Bottom