Natafuta tenda za kila siku (daywork)

Natafuta tenda za kila siku (daywork)

Joined
Sep 4, 2020
Posts
21
Reaction score
26
Habari zenu wakuu wa humu JF,

Mimi ni kijana mchapakazi, napatikana Kibaha mkoa wa Pwani.

Nilishawahi kupost humu tangazo la kutafuta ajira/kazi.

Sasa leo nimerud tena kuwaomba ndugu zangu kwa anaejua vinakopatikana vijitenda/vibarua vidgo vidgo aniambie au ukiwa unavyo vijitenda niite nifanye chochote nafanya isipokua wizi au mambo yasiyofaa kwa jamii.

Naomba mnisaidie kunipatia tenda/kibarua au kunijuza zinakopatikana nina nguvu na uwezo pia wa kufanya kaz ngumu za kutumia nguvu kwan nilishawah kufanya kwa iyo kama unazo au unajua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane,nijuze au nipatie kibarua kama cha:

1. Kujenga (saidia fundi
2. Kubeba mizigo ya mazao kwenye magar makubwa tena nijuzeni sehemu wanaposhusha sana mizigo kwa huku dar naziweza sana kazi za ukuli nishafanya sana nilipokua kiwandan
3. Kulima vibarua,chochote nafanya ilimradi nipate pesa ya kujikim na familia yangu kwa iyo kulima nalima hasa ndugu zangu wa Kibaha nitajien mashamba ya matajil nikalime
4. Kubeba bidhaa kutoka dukani kwenda kwa wateja au kupanga vzur kama supermarket
5. Kuchimba mashimo ya choo. Kama unataka kuchimbiwa shimo naomba nione
6. Kufyatua matofali, kwa wale wenye viwanda vya kufatua tofali naomba anipe kibarua au yeyote anaejua anifahamishe naweza enda wapi au kupitia njia zipi ili nipate

Kwa wenye nia nzuri naomba tuwasiliane na tusaidiane kupata vijibarua vya kazi hizo nilizotaja na zinginezo

Namba zangu ni: 0719056063 au 0743501957 ukinikosa tigo nitafute voda

Naomba tusaidiane jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom