Natafuta tenda ya kusambaza dawa Pharmacy

Oct 10, 2017
62
95
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nimehitimu masomo ya pharmacy na kufanikiwa kupata cheti cha pharmaceutical dispenser kinachotambulika na baraza la wafamasia Tanzania,

Ninatafuta kazi ya kuuza dawa au kugawa dawa kwenye pharmacy au hospital, nina uzoefu wa kutosha kwani nilishawahi kufanya kazi Geita, ila kwa sasa nipo dodoma.

Kwa mwenye uhitaji wa mtu mwenye taaluma hiyo, basi anaweza kunichek kwa namba
0652649162.
 

King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
14,374
2,000
Anza Kutafuta Hela Kidogo tu halafu Nje Kidogo ya Jiji la Dar-es-Salaam Fungua OTC ndogo tu ya Kuanzia Maisha! Nakuahidi Utatoka tu Trust me!
 
Top Bottom