M mukabajulizi Member Joined Aug 3, 2017 Posts 18 Reaction score 15 Dec 10, 2017 #1 Ndugu zangu natafuta tenda ya kupika na kulisha watu chakula.Mwenye connection tafadhali njoo DM.nitashukuru Niko kigamboni.
Ndugu zangu natafuta tenda ya kupika na kulisha watu chakula.Mwenye connection tafadhali njoo DM.nitashukuru Niko kigamboni.
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Dec 10, 2017 #2 Tangazo lako halijakamilika!!! Sema upo wapi na ofisi yako inapatikana Wapi na uweke namba zako za simu, Acha kukurupuka
Tangazo lako halijakamilika!!! Sema upo wapi na ofisi yako inapatikana Wapi na uweke namba zako za simu, Acha kukurupuka