Natafuta temporary job

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Habari wana Jf
Mimi nimesomea IT elimu diploma
Natafuta kazi ya mda maybe miezi sita au mwaka
Niko vizuri kwenye
Networking and security
Websites and compture troubleshooting

Location dar es laamu
 
Back
Top Bottom