Natafuta temporary job hata kwa kujitolea


Sijalalamika ila ushauri wako umeutoa kwa lengo la kukujeli....nadhani hata wewe unajua sio ishu hizo
 

Sijasema nataka kufundisha sekondari bata primary si ilimradi kufundisha,nionavyo mimi sio papara coz kuna shule nyingi huko vijijini hawana walimu nannaweza kuwa msaada mkubwa kwa kipaji changu.Hata shule za primary si ilimradi nafundisha tu.Aliyekuwa Tanzania one wa mwaka jana alianza kufundisha akiwa kidato cha tatu na kutokana na hilo akaexpand uwezo wake wa kujieleza.Hata mimi nataka kuexpand uwezo wake wa kujieleza
 
Punguza munkari kijana tafuta short course usome huku ukisubiri majibu
 

uko wapi wewe? Njoo huku namanyere ufundishe primary,kuna walimu wawili tu,mkuu wa shule na makamu wake,wahi upate shavu
 
Dogo acha mbwe mbwe! Watu wamemaliza Phd hawana kazi..we kaa nyumbani usaidie kuosha vyombo.
 
Dah jamaa anasema anaweza mambo meengi, kamalizia na siasa, hahaha! Muone mtu mmoja anaitwa Nape! Atakusaidia!
 
Dogo acha mbwe mbwe! Watu wamemaliza Phd hawana kazi..we kaa nyumbani usaidie kuosha vyombo.

Si mbwebwe..hata ukuiwa professor kama sio mjanja kazi hupati....if you are a JF Senior Expert Member learn to comment kulingana na your status coz unaweza ukacomment ukawa unajidhalilisha
 
Zipo za kufagia barabara na kupanda miti unaweza kujitoleaukibahatika utapata zawadi ya kuwa mwanamazingira boratena unaweza kupata bahati ya kupeana mkono na mkuuwa kaya!
theetheteht!! jamani jf kuna vimbwanga!!
 
Zipo za kufagia barabara na kupanda miti unaweza kujitolea
ukibahatika utapata zawadi ya kuwa mwanamazingira bora
tena unaweza kupata bahati ya kupeana mkono na mkuu
wa kaya!

mhh JF! Nimeipenda hiyo. Maandalizi mema kwa wale wanaofanya mtihani ya board ya uhasibu -november.
 

dogo humu JF inabidi ujue karibu 90% wamepita vyuo vikuu,kwahiyo unapoelekezwa vitu jaribu kuwa muelewa,Kabla ya yote inabidi ujue malengo yako.Mfano kuna kazi zingine haziitaji mbwembwe za kuongea ongea wala kujielezeaaaa,ila zinataka technical fitness.So kuhusu wewe fanya tu utumie hiki kipindi kupiga mapindi ucover vitu mapema ukianza advance mambo mteremko uli uwafulurizie mabanda NECTA,Hata hao unaowaiga ndio mifumo wanayoitumia hii maana wengi tumewashauri na wametoka kwa njia hizi.IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING YOU WILL END UP FALL FOR ANYTHING.
 

mawazo ya ki-form four....ndani ya JF, ni kutupotezea muda.
 
mawazo ya ki-form four....ndani ya JF, ni kutupotezea muda.

JF is an open network for everyone,wadau anayesema hivi si anawatukana hata wasiosoma ambao ni kiasi kikubwa cha watanzania.Me nadhani yeye ndo ana mawazo finyu ya kushindwa hata kung'amua anachoandika.Wadau me naona watu wengine wanakurupuka tu kutoa comments
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…