Natafuta tempo

hiljacs

New Member
Jun 28, 2010
3
0
Hi,

Mimi ni kijana wa Kitanzania(21) nasoma India
nimemaliza mwaka wa kwanza na nimerudi Tanzania.
Nitakuwepo mpaka mwisho wa mwezi wa nane
natafuta tempo work yoyote najua Computer na
kingereza na kiswahili vizuri sana .
Pia nasoma Bachelor of Business Management .
so naweza pia kufanya kazi za biashara vizuri zaidi ,data entry na zingine .
naomba mnisaidie if possible.
 
Back
Top Bottom