kama used sawa, ila brand new inapaa mpaka laki moja na nusu mpaka sitini kwa kariakoo.
Nilikuwepo jana mitaa ya kariakoo nasaka Huawei bird i900 nimepata kwa shs laki moja na nusu,
hiyo tecno p5 bei yake ni laki 1.5 pia mpya, ila internet yake ni 1.3G wakati huawei i900 ina 3G.
Endelea kusubiri mkuu.. utapata.