OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
SIFA
1.Awe na leseni ya class C
2.Awe ana park maeneo ya posta au Ubungo terminal
3.Alete hesabu kwa wiki sh laki 1
4.umri kuanzia miaka 35 to 60
5.Nitapendelea awe anaishi mitaa ya tabata
NB: GARI NI COROLLA bado mpya ...............