Natafuta tablet original

mchushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
216
Reaction score
98
Nahitaji kununua tablet yenye sifa hizi nicheck kama unayo
Brands ni Samsung/LG/Lenovo/HTC
Android version ni kuanzia 4.4.4
(Kitkat)
RAM at least 1. 5GB
Internal at least 16 GB
Size at least 8inches but 10 inches is the target.
Battery life at least 8hrs(Muhimu sana)
Offer yangu maximum ni 400k
Tuchekiane pm.
 
Niko nayo ya samsung tab s min pia unatumia kama simu nataka 650k
 
Ipo moja lkn haina option ya kupiga simu
Asante ni tab gani hii bosi???Maana kupiga simu kwangu siyo hitaji la msingi sana thats y sijalist hapo juu.....so tuwasiliane vizuri.
 
Niko nayokutoksamsung tab s min pia unatumia kama simu nataka 650k
Mkuu kwa zama hizi za Magufuri 650 ni hela nyingi sana kutoka hiyo 400 ambayo nnayo uko tayari?
 
Ninayo moja ya apple nipm nikupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…