Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Hata N 95 ni jiweOld is gold. Naomba niungane na wewe katika uhitaji huu ila mimi ikipatikana Nokia Xpress music, N95 au Siemens A52 zitapewa kipaumbele.
Pita ebay au amazon chief, mimi pia nimetafuta e63 kitaa bila mafanikioHabari wakuu
Kwa mwenye simu tajwa hapo juu tuwasiliane
nna shida nayo sana nimeimiss tu kuitumia
0622525942
Wanatuma bongo?Pita ebay au amazon chief, mimi pia nimetafuta e63 kitaa bila mafanikio
Yes wanatuma mi niliagiza item nyingine sio simu lakini ikafikaWanatuma bongo?
Mimi e63 au e72
nauza nokiaHabari wakuu
Kwa mwenye simu tajwa hapo juu tuwasiliane
nna shida nayo sana nimeimiss tu kuitumia
0622525942
Unapatikana wapi mkuunauza nokia
e72 = 160k,
E71 = 150k,
e63 = 150k,
n86 = 170k(8mp & 8gb),
c1 = 110k,
c5 = 120k,
8110 duos 4g with wasap = 170k.
Pia waweza toa oda km unayoitaka haipo hapa nikuagizie toka uk kwa hela yang, bora tuu uwe serious
Mkuu naweza pata na Black Berry 9900?nauza nokia
e72 = 160k,
E71 = 150k,
e63 = 150k,
n86 = 170k(8mp & 8gb),
c1 = 110k,
c5 = 120k,
8110 duos 4g with wasap = 170k.
Pia waweza toa oda km unayoitaka haipo hapa nikuagizie toka uk kwa hela yang, bora tuu uwe serious
nipo bagamoyo boss ila hua nazunguka dar, arusha na tangaUnapatikana wapi mkuu
labda nikutaftie bossMkuu naweza pata na Black Berry 9900?
Sawa mkuu.nipo bagamoyo boss ila hua nazunguka dar, arusha na tanga
labda nikutaftie boss
Basi fresh ntakucheki PMnipo bagamoyo boss ila hua nazunguka dar, arusha na tanga
labda nikutaftie boss
Mkuu mimi nilikuwa natafuta N95 sana kama unayo hata leo nahitaji mpya. kama huna basi yoyote N series nipo tayarinauza nokia
e72 = 160k,
E71 = 150k,
e63 = 150k,
n86 = 170k(8mp & 8gb),
c1 = 110k,
c5 = 120k,
8110 duos 4g with wasap = 170k.
Pia waweza toa oda km unayoitaka haipo hapa nikuagizie toka uk kwa hela yang, bora tuu uwe serious
nokia 6300 bei gan mkuu mpaka naipata ?nauza nokia