Kaka mi ni grand vitara nzuri sana waweza nifata inboxHabari wakuu!
Naomba ambaye ana ESCUDO ya 1999
1590cc, Rangi nyeusi, usajiri B, au.C
Bei maelewano!!
KWA UJUMLA IWE NA HALI NZURI.
Natanguliza shukuruna zangu.
NINA SUZUKI GRAND VITARA YA 2006 KWA YEYOTE ANAYE HITAJI ANAWEZA NIFATA INBOXKaka mi ni grand vitara nzuri sana waweza nifata inbox