Maembe dodo au jamii ya dodo, maembe yenye ladha na sukari. Idadi ni Tenga kubwa kwa wiki.
Mkuu Umeshindwa kuziudumia maana zina makovu sana,unaishusha thamani hiyo embe.Angalia uchumaji na Kuna dawa pia unaweza piga.Ungekuwa walau Canter tungeseti mitambo ila hizo tenga ziuzie Shamba hapo hapo na wanunuzi wadogo.Habari wadau wa JF, nahitaji supplier wa maembe mzigo wa jumla ndani ya mwaka mzima. Kwa mwenye taarifa yoyote yenye kusaidia anaweza nitafuta kwa 0756958798 muda wowote.
View attachment 1499553
Mkuu Umeshindwa kuziudumia maana zina makovu sana,unaishusha thamani hiyo embe.Angalia uchumaji na Kuna dawa pia unaweza piga.Ungekuwa walau Canter tungeseti mitambo ila hizo tenga ziuzie Shamba hapo hapo na wanunuzi wadogo.
Sawa mkuu sikukuelewa.Maembe ni tunda la msimu.Vuta Subira.Mkuu, natafuta maembe pia. Mimi siuzi. Kwahiyo kama unaweza kuniunganisha na mtu mwenye kuuza itapendeza.