S Sirbuni Senior Member Joined Aug 19, 2012 Posts 103 Reaction score 33 Apr 7, 2017 #1 Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
kunena JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 506 Reaction score 721 Apr 8, 2017 #2 Mi nnayo nipo Arusha