natafuta sponsor aliyetayari anicheki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta sponsor aliyetayari anicheki.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by teddy isaac, Jul 23, 2012.

 1. t

  teddy isaac New Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tulianzisha kampuni mimi na mwenzangu, ilikuwa inajishughulisha na utengenezaji wa magizene pia tulikuwa tunataka kufanya tv show, kuandaa documentary na drama. Tulipata mfadhili lkn kabla hatujafika popote yule mfadhili alipata matatizo 2kashindwa kuendelea,, sasa tunachohitaji ni mfandhili atakayeweza kufinance project zetu na tutaingia nae mkataba kujua tatafaidika vipi, na atakayeweza kututafutia mfadhili either tunasajili kampun upya na kuwa wamiliki watatu or 2naingia nae mkataba anakuwa anapata percent kadhaa ya faida, aliyetayari anicheki kwny +255762234236, asanteni na cku njema.
   
 2. M

  MAWAZO JUNIOR Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nichek kwa namba 0756222314 tuongee fresh
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mlitoa magazine ipi??na kama mlifanikiwa kutoa tv show ni ipi??
  ili utushawishi wengine..na ulitaka mfadhiliwe kwenye angle gani labda??kwa amount ipi??
   
 4. t

  teddy isaac New Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  soma hayo maelezo kwa makin, ndio 2likuwa 2naanza, magazine ilikuwa bado haijakamilika kutoka ila 2likuwa 2shasajili kampuni na vyeti 2navyo..
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  basi usiseme ILIKUWA INAJISHUGHULISHA bali sema ILITAKA IJISHUGHULISHE.
   
 6. t

  teddy isaac New Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimesema ilikuwa inajishughulisha na utengenezaji wa magazine ambazo tayar 2likuwa 2meanza kutengeneza sema haijatoka, na kuhusu tv show nimesema 2likuwa 2nataka kufanya cyo 2likuwa 2nafanya.
   
Loading...