Natafuta soko zuri la mahindi

Natafuta soko zuri la mahindi

ibontoko

Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
62
Reaction score
14
wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi?

natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/=

msaada wadau!!!
 
Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara
 
shukuru kama kuna hiyo 48 sababu huku nilipo ni 35
 
Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara
Daah kweli inauma jamaa kweli kama kaona hiyo 48,000/= ndogo na alikataa lazima apate temporary depression.
 
Huku Geita vijijini mahindi yanauzwa shilingi 4000 debe lakini hakuna wa kununua watu wanayaangalia tu
 
Back
Top Bottom