HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,448 Reaction score 6,211 Jul 28, 2022 #1 Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,662 Reaction score 3,489 Jul 28, 2022 #2 Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote
buswagg JF-Expert Member Joined Oct 21, 2023 Posts 1,027 Reaction score 1,870 Nov 8, 2023 #3 wajingawatu said: Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote Click to expand... mkuu, nina tani 20 na zaidi, dm tuzungumze zaidi
wajingawatu said: Nanunua kilo Tsh 20,900.00. Kiasi chochote Click to expand... mkuu, nina tani 20 na zaidi, dm tuzungumze zaidi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,001 Reaction score 77,328 Nov 8, 2023 #4 Vanilla Ni Zao La Wanasiasa Maana Nalo Limejaa Ghiriba, Fitna, Ujanja Utaambiwa Kilo Million