K konzo Elisha New Member Joined Oct 3, 2018 Posts 3 Reaction score 2 Oct 3, 2018 #1 nimeanzisha kilimo cha uyoga kalibuni na sasa natafuta soko,jamani ni wapi nitaweza pata wateja wa bidhaa hii Attachments pioppino-mushrooms.jpg 11.8 KB · Views: 35
nimeanzisha kilimo cha uyoga kalibuni na sasa natafuta soko,jamani ni wapi nitaweza pata wateja wa bidhaa hii
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,249 Oct 3, 2018 #2 Fanya utafiti yakinifu wa soko ndiyo uanzishe kilimo.
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,548 Reaction score 2,180 Oct 3, 2018 #3 Mkuu kama uko Dar nenda pale Sinza sinor hospital kuna Wachina wape sample
U Ubezea JF-Expert Member Joined Jan 21, 2018 Posts 1,232 Reaction score 632 Oct 4, 2018 #4 konzo Elisha said: nimeanzisha kilimo cha uyoga kalibuni na sasa natafuta soko,jamani ni wapi nitaweza pata wateja wa bidhaa hii Click to expand... hv ni kweli kuwa uyoga unaongeza nguvu za kiume
konzo Elisha said: nimeanzisha kilimo cha uyoga kalibuni na sasa natafuta soko,jamani ni wapi nitaweza pata wateja wa bidhaa hii Click to expand... hv ni kweli kuwa uyoga unaongeza nguvu za kiume