NTABO wa NTABO
Senior Member
- Jun 25, 2017
- 191
- 221
Husika na mada tajwa , ninauza ukwaju kwa bei ya 1000 kwa kilo,inaweza pungua, utauchukulia shinyanga mjini, kwa wale wa zanzibar,dar au popote tujuzane, pande za azam bei iko vipi? msimu tayari! ukwaju ni mwingi zaidi ya tani kumi kuvunwa. zaidi 0652886184