Wadau kuna muhogo mkavu, ni muhogo usio mchungu umemenywa ukakaushwa upo vizuri ningependa kujua bei yake jijini mwanza na iwapo soko la kuweza kuuza linapatikana.
Mimi nipo Urambo-Tabora, nina mihogo mingi kiasi cha hekari 12, sasa ipo tayari kuvunwa. Eneo ulipo ni kiasi gani kinawezekana kuuzika? Gunia ngapi hivi nikisema nisafirishe naweza kuuza? Pia uko wapi mkuu(specific location)
Wadau kuna muhogo mkavu, ni muhogo usio mchungu umemenywa ukakaushwa upo vizuri ningependa kujua bei yake jijini mwanza na iwapo soko la kuweza kuuza linapatikana.