bintimzalendo
Member
- Feb 27, 2014
- 74
- 30
sato8000, sangara7000Rejareja kilo sh ngapi sato au sangala?
Mi nikaangie kabisa
Duka lako lipo wapi?
Duka lipo mbagala, pia nakaanga kwa order na kupeleka maofisin na majumbani
Bei ya jumla jumla ipo poa, unaweza kuleta mzigo wa kilo ngapi kwa wiki?
sato8000, sangara7000
Rejareja kilo sh ngapi sato au sangala?