M makendi10 Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jun 9, 2023 #1 Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 Jumla kuanzia kilo 6 Napatikana Bunju 0658236797
Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 Jumla kuanzia kilo 6 Napatikana Bunju 0658236797
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,124 Reaction score 5,697 Jun 9, 2023 #2 makendi10 said: Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 View attachment 2651207 Click to expand... Wapi na weka mawasiliano. Wana uzito gani?
makendi10 said: Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 View attachment 2651207 Click to expand... Wapi na weka mawasiliano. Wana uzito gani?
Tyrone Kaijage JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 1,616 Reaction score 3,423 Jun 9, 2023 #3 Kilo moja inatoa samaki wangapi?
M makendi10 Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jun 9, 2023 Thread starter #4 Equitable said: Wapi na weka mawasiliano. Wana uzito gani? Click to expand... Nisamehe sana Siku weka mawasiliano nimesharekebisha
Equitable said: Wapi na weka mawasiliano. Wana uzito gani? Click to expand... Nisamehe sana Siku weka mawasiliano nimesharekebisha
M makendi10 Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jun 9, 2023 Thread starter #5 Tyrone Kaijage said: Kilo moja inatoa samaki wangapi? Click to expand... Samaki mmoja hadi mmoja na nusu Boss
Tyrone Kaijage said: Kilo moja inatoa samaki wangapi? Click to expand... Samaki mmoja hadi mmoja na nusu Boss
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,099 Reaction score 1,055 Jun 9, 2023 #6 wanapatikana wapi hawa ?
kwaku the traveler JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 294 Reaction score 819 Jun 9, 2023 #7 makendi10 said: Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 View attachment 2651207 0658236797 Click to expand... Upo wapi toa maelezo toshelevu
makendi10 said: Habari zenu Mimi ni mfugaji wa samaki ninatafuta soko la samaki aina ya sato Bei ya jumla ni 8000 Bei ya rejareja ni 11000 View attachment 2651207 0658236797 Click to expand... Upo wapi toa maelezo toshelevu
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,973 Reaction score 18,441 Jun 9, 2023 #8 Daaah matangazo haya mtihani. Jumla unaanzia kilo ngapi?
M makendi10 Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jun 10, 2023 Thread starter #9 muhamar Gadaf said: wanapatikana wapi hawa ? Click to expand... Bunju
M makendi10 Member Joined May 13, 2023 Posts 5 Reaction score 2 Jun 10, 2023 Thread starter #10 kawombe said: Daaah matangazo haya mtihani. Jumla unaanzia kilo ngapi? Click to expand... Kuanzia kilo tano mkuu
kawombe said: Daaah matangazo haya mtihani. Jumla unaanzia kilo ngapi? Click to expand... Kuanzia kilo tano mkuu