Natafuta soko la mihogo

Natafuta soko la mihogo

idorome

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Wanajamvi habari ya mihangaiko ya maisha,

Nilikua nauliza wapi nitapata soko la mihogo? Mimi niko Mkuranga ila naogopa walanguzi, ninazo heka 2 mihogo safi kabisa hata hapa ndio napata wa mchana na maziwa ya mgando.
 
unaweza nipa idea wananunuaje na je taratibu gani za kufwata kupeleka mzigo, na je ni kwa njia gani ya usafiri
 
Nenda pale buguruni kafanye utafiti mdogo kuhusu bei na uwadodose baadhi ya wanunuaji ila sio madalali, ukiona inakulipa unaupeleka
 
Back
Top Bottom