Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.

Japo sina hakika kipindi hikii kama ni kizuri kufanya hiyo biashara sababu mihogo mingi haiivi. Lakini pitia masokoni uonane na madalali am sure watakugombea