Mwaka huu sijui itakuwaje sababu kila mtu anahifadhi mpunga ili aje kuuza baadae. Na mchele ni mwingi sana safari hii....hii biashara haihitaj uwe na hrk ya faida'
kusany mpunga wako msimu huu.
then novemb ' disemba anza kuuza mchele.
utaon mavumba
Kilo utauzaje?Waheshimiwa, Habari za uzima?
Nataka nianze biashara ya mchele kutoa mikoa ya Mbeya, Morogoro, Tabora na Singida niwe napeleka Arusha, Moshi, Dodoma. Tupeane mnyumbuliko wapendwa, sina uzoefu na hii kazi.
Tusaidizane jamani
Mvua zimenyesha Sana mpunga umetoka Sana Kama ilivyo kwa Kambale.Mwaka huu sijui itakuwaje sababu kila mtu anahifadhi mpunga ili aje kuuza baadae. Na mchele ni mwingi sana safari hii....