Natafuta Soko la mchele

Natafuta Soko la mchele

Ibra77

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
21
Reaction score
4
Habari vijana wenzangu
Mi ni mkulima maeneo ya shinyanga nilietafuta soko la mchele wngu kwa muda mrefu bila mafanikio. Nimelima kiasi cha zaid ya tan52 ninaomba muongozo kwa mwenye kujua masoko ya ndani na nnje ya nnchi
 
...unauzaje huo mchele??
Toa taarifa za kina ili mtu afanye analysis kabisa kabla ya kukutafuta
 
Nimekua nikiuza mchele hapa Dar es salaam kwa muda mrefu sana na bei inategemea na sehemu ambapo mnunuzi atapanga afikishiwe. Mfano: Kwa Dar es salaam bei ni 1050-1800 kulingana na makubaliano. Kwa mimi pia mnunuzi itabid achague ni mchele wa aina gan anaouhitaj maana mchele unapangiwa bei kulingana na muonekano wake na pia mbegu iliotumika. nikimaanisha kwa kiasi icho cha tan52 sio aina moja ya mchele. Kwaio bei itakua ni kukubaliana
 
Habari? Bei ya jumla mchele wa kahama grade 1 na grade 2 unauzaje? Mimi nipo arusha
 
Nimekua nikiuza mchele hapa Dar es salaam kwa muda mrefu sana na bei inategemea na sehemu ambapo mnunuzi atapanga afikishiwe. Mfano: Kwa Dar es salaam bei ni 1050-1800 kulingana na makubaliano. Kwa mimi pia mnunuzi itabid achague ni mchele wa aina gan anaouhitaj maana mchele unapangiwa bei kulingana na muonekano wake na pia mbegu iliotumika. nikimaanisha kwa kiasi icho cha tan52 sio aina moja ya mchele. Kwaio bei itakua ni kukubaliana
Nijibu mapema kabla sijaondoka kesho kwenda kahama kutafuta mchele
 
Arusha majengo, kiasi nachochukua itategemea na ww unaniuzia kilo kwa shilingi ngapi?
 
Daaah hapo kwenye kutuma sample sijui itakuwaje maana nimepanga kuondoka kesho asubuhi hadi kahama .anyway ntakucheck ktk namba yako
 
Ukichukua mwngi tutarekeebishiana tutaelewana nashindwa kutaja bei maana naweza leta mchele mzur kuliko grade 1 unayoisema wewe pia kwaio nashauri unichek.
 
Back
Top Bottom