enery JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 368 Reaction score 439 Sep 16, 2016 #1 Habarini za mchana wana jukwaa, Samahani natafuta soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa Dar es Salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze. Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema.
Habarini za mchana wana jukwaa, Samahani natafuta soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa Dar es Salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze. Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema.
pozzyfaza JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,453 Reaction score 268 Sep 16, 2016 #2 enery said: Habarin za mchana wana jukwaa, samahan natafu soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa dar es salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze. Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema. Click to expand... Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika
enery said: Habarin za mchana wana jukwaa, samahan natafu soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa dar es salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze. Nipende kuwatakia mchana mwema na kazi njema. Click to expand... Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika
enery JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 368 Reaction score 439 Sep 16, 2016 Thread starter #3 pozzyfaza said: Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika Click to expand... Nahitaji kuuza mbaazi kama nikipeleka dar es salaam soko linapatikanaje? Hicho ndicho ninachokihitaj kufahamu mkuu
pozzyfaza said: Kwa upande wangu cjaelewa ata kimoja ulicho andika Click to expand... Nahitaji kuuza mbaazi kama nikipeleka dar es salaam soko linapatikanaje? Hicho ndicho ninachokihitaj kufahamu mkuu
E emgoa Member Joined Jun 23, 2012 Posts 11 Reaction score 1 Sep 18, 2016 #4 enery said: Nahitaji kuuza mbaazi kama nikipeleka dar es salaam soko linapatikanaje? Hicho ndicho ninachokihitaj kufahamu mkuu Click to expand... Nicheck kwenye 0677010000 tufanyeje biashara
enery said: Nahitaji kuuza mbaazi kama nikipeleka dar es salaam soko linapatikanaje? Hicho ndicho ninachokihitaj kufahamu mkuu Click to expand... Nicheck kwenye 0677010000 tufanyeje biashara