Natafuta soko la maziwa

Reneeee

New Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Habari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
 
Safi sana mkuu. Wenzio huuza 1500 mtindi na 1200 kwa fresh kwa kila lita. Huwa wanauzia Ubungo njia panda ya chuo kikuu alfajiri ya SAA 10 mpaka SAA 12 wanasepa. Jaribu mkuu.
Habari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
 
Habari kwa majina naitwa kipuso kilawe...ninatafuta soko la maziwa, kwa siku ngombe wangu wanauwezo wakutoa lita 180 mpka 200. Ninapatikana Dar es salaam mbezi beach.lita nauza 1600.
Unahisi tangazo lako limekamilika!,au mbezi yoote upo peke yake muuza Maziwa.Hebu andika tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…