Ngozi Joram JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 662 Reaction score 546 Jul 12, 2017 #1 Wakuu habari zenu,natumai hamjambo. Naomba kujua mwenye dondoo kuhusu soko la maziwa fresh. Nina chanzo cha kuaminika kusupply kati ya lita 80 hai 100 k2a siku Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Wakuu habari zenu,natumai hamjambo. Naomba kujua mwenye dondoo kuhusu soko la maziwa fresh. Nina chanzo cha kuaminika kusupply kati ya lita 80 hai 100 k2a siku Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
RedDevil JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 2,367 Reaction score 1,524 Jul 12, 2017 #2 Ongea na wenye supermarket, au tafuta packaging system uwe unayauza yakiwa tayari processed. Uko mkoa gani mkuu?
Ongea na wenye supermarket, au tafuta packaging system uwe unayauza yakiwa tayari processed. Uko mkoa gani mkuu?
Ngozi Joram JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 662 Reaction score 546 Jul 12, 2017 Thread starter #3 Nipo dar Boss wangu Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
petro matei JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 812 Reaction score 949 Jul 12, 2017 #4 Gulia la maziwa lipo hapo ubungo mataa kila siku alfajiri Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Gulia la maziwa lipo hapo ubungo mataa kila siku alfajiri Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,761 Jul 12, 2017 #5 Yani ningekua nakunywa kama maji dadeki!!